How to download G1 Mapinduzi Kwanza lastet apk for pc

How to download G1 Mapinduzi Kwanza lastet apk for pc



G1 Mapinduzi Kwanza.apk 0.1
Name: G1 Mapinduzi Kwanza.apk
ID: com.wg1mapinduzikwanza
Version: 0.1
Size: 0 Mb



G1 Mapinduzi Kwanza Screen Preview

How to download G1 Mapinduzi Kwanza patch 0.1 apk for laptop
How to get G1 Mapinduzi Kwanza 0.1 mod apk for android
How to install G1 Mapinduzi Kwanza 0.1 unlimited apk for bluestacks

How to setup G1 Mapinduzi Kwanza apk for android

- For Android 4.0 or higher:
Please to Settings, look down to Security, and select Unknown sources. Choosing this choice will enable to install apps download from the internet.
- For devices running on lower Android 4.0:
Please go to Settings - open the Applications option, and select Unknown sources, click OK on the popup alert.

G1 Mapinduzi Kwanza Details

Kikundi cha G1 mapinduzi kwanza imeanzishwa chini ya sharia namba (6) ya mwaka 1995 Kikundi kimeanzishwa kwa lengo la kujitambua na kusaidiana na kusaidia jamii inayotuzunguka hasa vijana kina mama wazee na watoto. Sisi ni wana Kikundi cha G1 mapinduzi kwanza ambao tunaoishi Zanzibar na Tanzania bara pamoja na walokuwa nje ya Tanzania kwa umoja wetu tumeanzisha Kikundi hichi bila ya kushawishiwa na mtu
Kikundi hiki kitakua ni chambo madhubuti cha kutuunganisha
1. DIRA
Kuwa na jamii ya watu wenye uelewa na muamko wa kimaendeleo katika Nyanja za kisiasa, Kiuchumi, Kijamii na Kiutamaduni ili kutokomeza ujinga umasikini na maradhi.
2. MUELEKEO
Kuhakikisha kwamba jamii ya watu wa Zanzibar na Tanzania wanaelimika na kuhamasika katika harakati za kujiletea maendeleo yao na Taifa kwa ujumla
3. MALENGO
Kikundi hiki kimeanzishwa ili kutekeleza malengo yafuatayo:-
i. Kujenga mazingira mazuri yatakayosaidia kukuza mahusiano na kuelewana na kukuza udugu
ii. Kuanzisha na kusimamia miradi ya kikundi cha G1 Mapinduzi kwanza na shughuli mbalimbali za kimaendeleo
iii. Kuwaunganisha Watanzania wa ndani na nnje kwa kutumia mitandao ya kijamii Whatsapp, Facebook, Instagram na Twitter ili kusaidia maendeleo ya Taifa kwa ujumla
iv. Kuwajengea uwezo wa kiunshindani vijana wajasiriamali na kutangaza kazi zao
v. Kuhimiza ushiriki na ushirikishwaji wa wana kikundi wote yanapotokezea matukio ya shida, furaha, ugonjwa na matatizo mbali mbali ya kijamii

What's new in G1 Mapinduzi Kwanza 0.1


G1 Mapinduzi Kwanza | 6 Reviewers | | Rating: 4.5

Download G1 Mapinduzi Kwanza lastet APK



Search terms:
How to get G1 Mapinduzi Kwanza patch 0.1 apk for bluestacks
How to use G1 Mapinduzi Kwanza mod apk
How to mod G1 Mapinduzi Kwanza 0.1 apk
How to get G1 Mapinduzi Kwanza mod apk

Previous Post
Next Post